Monday, July 2, 2012

AFRICA NEWS: RAIS KIKWETE AHUDHURIA MIAKA 50 YA UHURU WA BURUNDI

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na mwenyeji wake Rais Pierre Nkurunzinza wa Burundi wakifurahia jambo wakati wa maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru wa Burundi yaliyofanyika mjini  Bujumbura leo asubuhi.Kulia ni Mke wa Rais Mama Salma Kikwete.



Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe mama Salma Kikwete wakiwa pamoja na viongozi wengi ne waliohudhuria maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru wa Burundi mjini Bujumbura leo asubuhi.kutoka kishoto ni Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Rais Teodoro Nguema wa Equatorial Guinea,Mwenyeji Rais Pierre nkurunzinza wa Burundi na mkewe na, Rais Mwai  Kibaki wa Kenya.

No comments:

Post a Comment