Sunday, June 3, 2012

TANZANIA SOCIAL NEWS: AJALI MABIBO EXTERNAL, DAR


·         Lusajo Mwakibinga
Ajali mbaya imetokea jana majira ya saa tano usiku njiapanda ya pale Mabibo External ikihusisha gari ya aina ya Toyota surf likitokea Ubungo kwa mwendo wa km 100 kwa saa...na Land cruiser likiingia barabarani kutokea Mabibo....likagongea ubavuni mwa bonet .....nimeshuhudia mwenyewe mzinga ulikuwa mkubwa na wa kuogofya mungu si athumani kuna majeruhi tu.....ila chanzo ni mwendo wa kasi....JAMAN WENYE HIZO AUTOMATIC MSIONE TU RAHA KUKANYAGA!! Si vizuri kukimbia eneo lenye junction ni hatari......MZINGA MKUBWA MPAKA CHECHE ZILE ZA RADI NIMEZIONA....TUWE MAKINI.
 Gari lilivutwa na Break down
· · Share · 43 minutes ago ·

No comments:

Post a Comment