WAKATI mabingwa wa ligi kuu soka nchini Uganda, Express wakiwasili jana tayari kwa mchezo wao wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya Yanga, kiingilio cha juu cha mchezo huo utakaoipgwa jumaosi katika uwabnja wa Taifa kimepangwa kuwa shilingi 20,000 kwa VIP A.
Ofisa habari wa Yanga Louis Sendeu amesema kwamba mashabiki watakaokaa VIP watalipa shilingi, 15,000 kwa VIP B na C ,shilingi 5,000 ni kwa watakaokaa biti vya kijani na wale watakaokaa viti vya rangi ya bluu na chungwa watalipa shilingi 3,000.
No comments:
Post a Comment