ANDRY Shevchenko Nyota wa Timu ya Taifa ya Ukraine amesema Timu yake itaweza kufika katika Fainali za Michuano ya EURO 2012 itakayoanza kutimua vumbi Ijumaa ya Juni 8.Ukraine itaanza Kampenizake Jumatatu ya Juni 11 dhidi ya Sweden
ANDRY Shevchenko Nyota wa Timu ya Taifa ya Ukraine amesema Timu yake itaweza kufika katika Fainali za Michuano ya EURO 2012 itakayoanza kutimua vumbi Ijumaa ya Juni 8.
No comments:
Post a Comment